HATUA MUHIMU ZA UKUAJI WA MTOTO KISAIKOLOJIA
Dr. DALUS
Mtoto anapitia mabadiliko mbali mbali ya kimwili,kiakili na kisaikolojia pindi anapokua anakuwa hadi kuwa mtu mzima. leo nitakuelezea hatua za ukuaji wa mtoto kisaikolojia muhimu sana katika malezi yake. hatua hizo ni kama ifatavyo
1.ORAL STAGE
Mtoto anakua katika stage hii anapokuwa na umri wa,mwezi mmoja hadi mwaka mmoja.
Sasa kwa kipindi hiki erogenous zone ya mtoto inakua mdomoni, raha ya mtoto inakua kitu chochote kinachoingia mdomoni ndo maaana kipindi hiki mtoto kila kitu anachoshika anapeleka mdomoni .
Hiki ndo kipindi cha kujenga strong bond kwa mtoto na mama pale mtoto anapokuwa ananyonya inamjenga kumthamini mama kuliko mtu yyte Kipindi hiki inabdi kuwa makini na vitu kama shanga,sarafu nk ambavyo akiweka mdomoni vnaweza kumkaba
Hapa kama mzazi ana tabia ya kula kucha ndo kipindi mtoto nae anajifunza na kua hvo anapokua
2.ANAL STAGE
Stage hii inaanza umri wa mwaka 1 hadi miaka mi 3 Hapa mtoto raha yake ni kitu kinachotoka kupitia haja kubwa.
Kipindi hiki ndo kile mtoto anapenda penda sana kuomba pot au kukalia pot. Kipindi hiki ni kizur kumfundsha mtoto matumizi mazur ya choo (toilet behavior s) anapojisaidia ovyo unajaribu kumwelezea wapi pa kujisaidia nk. Ni stage pia ambayo unamfudsha mtoto asiwe na tabia ya kujinyea anapokua
3.PHALLIC STAGE
Hapa erogenous zone zinakua sehemu za siri. Kipindi hiki mtoto anaelewa tofaut ya kimaumbile ya mwanaume na mwanamke Kipindi hiki mtoto wa kike anamwonea wivu mama kwa nni anapendwa na baba na,wa kiume anamwonea wivu baba.
mtoto anaanza kufanya vitu anavopendelea kufanya mzaz wa jinsia yake kwa kudhan kua mzaz wa jinsia tofaut na yake ndo vitu hvyo vnafanya ampende.
Unaweza kuta mtoto wa kiume kama baba anapenda kusoma gazeti nae anapendelea kushika gazet kujaribu kusoma nk, au wa kike unakuta yuko busy anaigiza kujipodoa kama mama yake nk Kipindi hiki ni kizuri kumfundisha mtoto kazi fulani unayopenda akikua afanye Pia ni lipindi mtoto anasoma na zile tabia mbaya za wazazi, mfano kama baba anampga mama bas na mtoto wa kiume anajifunza akikua anakua anawatreat wanawake.
NI kipindi cha kuacha au kificha tabia mbaya za wazazi Phallic stage inaanzia umri wa miaka mitatu hadi umri wa,kubarehe
4.GENITAL STAGE
Kuanzia balehe hadi kufa Hapa sasa mtu anakua kimawazo na anaanza kuapply kwenye maisha yake vitu alivyojifunza kwenye phallic stage.
Comments