Skip to main content

Posts

HEALTH BENEFITS OF FRUITS AND VEGETABLES

* HEALTH BENEFITS OF FRUITS AND VEGETABLES. * * BANANAS * 🍌🍌🍌🍌🍌 • Protect your heart. • Strengthen bones. • Control blood pressure • Block diarrhea. * BEANS * 🥓🥓🥓🥓🥓 • Prevent constipation. • Help hemorrhoids. • Lower cholesterol. • Cancer cancer. • Stabilize blood sugar. * BROCCOLI * • Strengthens. • Saves eyesight. • cancer Combats. • Protects your heart. • Controls blood pressure. * CABBAGE * • cancer Combats. • prevent constipation. • Promotes weight loss. • Protects your heart. • Helps hemorrhoids. * CARROTS * 🥕🥕🥕🥕🥕 • Save eyesight. • Protect your heart. • Prevent constipation. • Cancer cancer. • Promote weight loss. * CAULIFLOWER * 🌼🌼🌼🌼🌼 • Protec...

URINARY TRACT INFECTION

By DALUS DEFINITION A urinary tract infection (UTI) is an infection in any part of your urinary system — your kidneys, ureters, bladder and urethra. Most infections involve the lower urinary tract — the bladder and the urethra. Women are at greater risk of developing a UTI than men are. Infection limited to your bladder can be painful and annoying. However, serious consequences can occur if a UTI spreads to your kidneys. Antibiotics are the typical treatment for a UTI. But you can take steps to reduce your chance of getting a UTI in the first place. SYMPTOMS Urinary tract infections don't always cause signs and symptoms, but when they do they may include: -A strong, persistent urge to urinate - A burning sensation when urinating -- -Passing frequent, small amounts of urine Urine that appears cloudy Urine that appears red, bright pink or cola-colored — a sign of blood in the urine -Strong-smelling urine Pelvic pain, in women Rectal pain, in men UTIs may be o...

ANEMIA

DEFINITION OF ANAEMIA By DALUS Anemia is a condition in which you don't have enough healthy red blood cells to carry adequate oxygen to your tissues. Having anemia may make you feel tired and weak. There are many forms of anemia, each with its own cause. Loss of blood is the most common cause of anemia. Anemia can be temporary or long term, and it can range from mild to severe. Treatments for anemia range from taking supplements to undergoing medical procedures. You may be able to prevent some types of anemia by eating a healthy, varied diet. See your doctor if you suspect you have anemia because anemia can be a sign of serious illnesses. SYMPTOMS Anemia symptoms vary depending on the cause of your anemia but may include: -Fatigue -Weakness -Pale skin -A fast or irregular heartbeat -Shortness of breath -Chest pain -Dizziness -Cognitive problems -Cold hands and feet -Headache Initially, anemia can be so mild it goes unnoticed. But symptoms increase as anem...

TATIZO LA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI (RENAL/KIDNEY FAILURE)

TATIZO LA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI (RENAL/KIDNEY FAILURE) By DALUS Figo ni miongoni mwa viungo muhimu sana katika mfumo wa utendaji kazi wa mwili wa binadamu. Kwa kawaida, mwili wa binadamu una figo mbili zenye maumbo yanayofanana kama yale ya maharage, yakiwa yamejificha nje ya utando unaozunguka tumbo, chini kidogo ya mbavu za chini.  Kazi za figo Kazi kuu za figo ni kuchuja vitu mbalimbali pamoja na sumu kadhaa katika damu na hivyo kusaidia katika kuhifadhi na kuthibiti kiwango cha maji na madini (electrolytes) mwilini. Katika kutekeleza hayo, figo huchuja vitu hivyo pamoja na maji yaliyo mwilini na kutengeneza mkojo, huchuja pia maji yasiyohitajika mwilini huku yakinyonya madini na kemikali muhimu kuzirudisha katika mzunguko wa damu na kutoa nje uchafu usiohitajika.  Kazi nyingine za mafigo ni ·         Kurekebisha na kuthibiti kiasi cha vitu mbalimbali katika damu pamoja na kiasi cha maji katika mwili ·  ...

MALARIA

UFAHAMU ZAIDI UGONJWA WA MALARIA By DALUS Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama Plasmodium. Vimelea hivi huenezwa na mbu jike aina ya anofelesi (anopheles). Lakini watu wengi huelewa kwamba malaria husababishwa na mbu. Mbu huyu husaidia katika usambazaji tuu wa vimelea husika. Aina ya vimelea ambavyo humdhuru binadamu kati ya vimelea vingi vya Plasmodium ni: Plasmodium falciparum - Wadudu hawa ndio hatari kushinda wengine kwa sababu wanashambulia seli zilizokomaa na ambazo ni changa. Hupatikana sana katika nchi zilizopo katika jangwa la sahara. Asilimia 75 ya wagonjwa wote wa malaria barani Afrika husababishwa na vimelea hivi. Mwaka 2006, kati ya watu milioni 247 duniani waliougua malaria, asilimia 91 walisababishwa na vimelea hivi (Afrika 98%) na kusababisha vifo kwa asilimia 90 mwaka huo huo barani Afrika. Plasmodium malariae - Pia hupatikana katika nchi zilizopo katika jangwa la sahara, Asia ya Mashariki, Indonesia na katika visiwa vya maghari...

BIMA YA AFYA NA FAIDA ZAKE

BIMA YA AFYA NA FAIDA ZAKE By Dalus Bima ya afya ni nini? Bima ya afya ni mfumo wa kujiunga kwa hiari ama kwa lazima unaomhakikishia mwanachama kugharamiwa gharama zozote zinazojitokeza katika kupata huduma za kiafya zikiwemo kumwona daktari, kufanya vipimo pamoja na kupata matibabu na dawa kwa mwanachama husika. Bima ya afya ni kama mkataba unaoingiwa na anayetaka huduma pamoja na mtoa huduma kwa kupitia mifuko au taasisi inayowaunganisha mtoa huduma pamoja na mhitaji wa huduma husika. Mara nyingi Bima ya afya hujumuishwa kwenye makato anayoyatoa mwajiri kwa waajiriwa wake katika kufanya malipo. Pia zipo bima zinazowahusu watu binafsi, wazee na wasiojiweza, wajawazito na wengine wenye mahitaji maalumu bila kusahau wanafunzi kipindi cha masomo yao. Mara nyingi wanachama huchagua taasisi ama mifuko inayotoa bima hizi kulingana na aina, viwango na mipaka (coverage) ya Taasisi/Bima hizo. Ni ukweli uliowazi kuwa kila mfuko huweza kutofautiana na mingine katika huduma inazozitoa kwa...

MIWASHO UKENI ( VAGINAL ITCHING)

MIWASHO UKENI (VAGINAL ITCHING) By Dalus Miwasho/michomo sehemu za siri/Ukeni huweza kusababisha  kujisikia vibaya na hasa mwanamke akiwa sehemu za watu kwa sababu hushindwa hata kujizuia kujikuna. Miwasho ukeni huashiria kuna maambukizi au kitu fulani kigeni kimeingia sehemu hizo na hivo lengo la kipengele hiki ni kuzungumzia vitu na maambukizi yanayosababisha miwasho ukeni Nini husababisha miwasho Ukeni? Maambukizi mbalimbali yanaweza kusababisha miwasho ukeni kama; maambukizi ya bakiteria maambukizi ya bakiteria maeneo haya huweza kusababisha miwasho pamoja na kuhisi kama unaungua , kutoa harufu mbaya kama samaki aliyeoza na kutoa uchafu ukeni . Magonjwa ya zinaa/sexual transmitted disease (STD) Kisonono, kaswende, trichomoniasis, virusi vya herpes na maoteo sehemu za siri inayosababishwa na  ya virusi vya human papilloma(genital warts) . Mambukizi ya fungusi ukeni(yeast infection)- wanawake wa3 kati ya 4 watapata maambukizi haya maishani mwao. Maambukizi haya hut...