Skip to main content

Posts

WAZO LA BIASHARA

WAZO LA BIASHARA: JINSI YA KUFUNGUA YOUTUBE CHANNEL NA TRICK ZA KUPATA SUBSCRIBERS!! http://www.unistoreztz.com/2019/07/08/wazo-la-biashara-jinsi-ya-kufungua-youtube-channel-na-trick-za-kupata-subscribers/
Recent posts

FAIDA ZA TENDE

Zijue faida za kula tende kiafya Tende ni matunda maarufu sana kutokana na faida kedekede zipatikanazo. Kwa kingereza huitwa dates, kwa kihindi huitwa khajur, kwa lugha ya kitaalamu (botanical name)huitwa Phoenix dactiylifera. Tende zimetunukiwa viambata muhimu mno kama protini, wanga, vitamins B1, B3,B5,A1,pia madini kama kalsiam, magniziam, manganizi, na kopa. Tende zinaweza kuchanganywa na maziwa ili kuongeza ufanisi, au kuchanganya na asali, unaweza kufanya juisi ya tende maridhawa, au kula hivi hivi. Miongoni mwa faida zinazopatikana kwa kutumia juisi ya tende au tende zenyewe ni kama ifuatavyo; Kuimarisha mifupa (bones),misuli na meno, tende husaidia sana kuimarisha afya ya mifupa, misuli na meno ya mlaji. Sababu tende zina manganese kwa wingi, kalsiam, selenium, pamoja na copper. Husaidia kuimarisha afya ya macho (eye sight), ulaji wa tende au juisi yake maridhawa. Kutokana na upatikanaji wa vitamini kwa wingi. Husaidia kwa wenye saratani. Kama ambavyo tafiti iliyofa...

BENEFITS FROM CAFFEINE FREE INTAKE

10 Health Benefits of Living Caffeine-Free Medically reviewed by Dalus Idd, RN,   on December 9 , 2018 — Written by Dalus Idd. I'm not going to say you need to quit caffeine.. Americans are currently drinking more coffee than ever before. And that doesn’t even account for all of the other ways to get your caffeine fix — from matcha lattes to the $25+ billion dollar energy drinks industry. The good news is that there are plenty of proven health benefits that come along with drinking coffee, from a faster metabolism to a significantly lower risk of Alzheimer’s disease. But what are the benefits of going caffeine-free, and who should be avoiding caffeine altogether? Here are the top 10 benefits of cutting down on your fancy espresso drink habit — besides, of course, saving a ton of money. 1. Less anxiety Feeling increasingly anxious lately? Too much caffeine may be to blame. Caffeine comes with a burst of energy, which is what most of us use it f...

BENEFITS FROM AVOCADO

Avocados are very common in most parts of the world. The tree originally comes from Mexico, but has since found its way to other parts of the world – Asia, America, Africa, Europe, etc. There are a lot of people who know about the tree, and its delicious fruit. Some eat it, and others use it for beauty purposes. But despite that, you can’t rule out the fact that there are tons of people who don’t eat Avocados (at least, enough of it), either because they don’t like it or they just don’t understand its usefulness to the body. This post will be talking about some of the benefits that come with eating Avocados; from weight loss to nourishment of the skin and body. Just read on. BOASTS MORE POTASSIUM THAN BANANA Your body needs potassium to work normally. For example, the mineral helps keep your heartbeat steady. Most people think of bananas when they think of this nutrient. But ounce for ounce, avocados have more. THEY’RE GOOD FOR THE EYES Avocados...

FAIDA ZA NDIZI MWILINI

FAIDA ZA NDIZI MWILINI Ndizi mbivu ni tunda linalotumika sana kama mlo sehemu mbalimbali duniani. Ni tunda ambalo ni tamu na lenye virutubisho mbalimbali na muhimu kwa mwili. Baadhi ya faida za ndizi kiafya ni kusaidia moyo kufanya kazi vizuri, kupunguza uwezekano wa kupata saratani na pumu. Ndizi ni chanzo kizuri cha madini ya Potasiamu. VIRUTUBISHO VILIVYOMO KWENYE NDIZI Ndizi ya wastani ina uzito wa kama gramu 126O. Ina nishati kiasi cha kalori 110, gramu 30 za wanga na gramu 1 ya protini. Ndizi hazina fati, lehemu (cholesterol) au madini ya Sodiamu. Ndizi zina virutubisho  vifuatavyo; Vitamini B6 – 0.5 mg Manganizi- 0.3 mg Vitamini C – 9 mg Potasiamu – 450 mg Kambakamba- 3g Protini – 1 g Magneziamu – 34 mg Madini ya Foliki- 25.0 mcg Riboflavin – 0.1 mg Niacin – 0.8 mg Vitamini A – 81 IU Madini ya chuma – 0.3 mg FAIDA ZA NDIZI KIAFYA Kushusha Shinikizo la Damu Ndizi zina madini ya Potasiamu kwa wingi amb...

FAIDA 30 ZA JUISI YA TANGAWIZI

ZIFAHAMU FAIDA 30 ZA JUISI YA TANGAWIZI 1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi 4. Huondoa uvimbe mwilini 5. Huondoa msongamano mapafuni 6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake 7. Huondoa maumivu ya koo 8. Huua virusi wa homa 9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini 10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills) 11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya. 12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol” 13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mref...

UPENDE MOYO WAKO